Msaada: Nikinywa supu napatwa na hali ya ajabu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Naamini hapa kuna Doctors wakuu Mimi nikinywa Supu/Mchemcho wa nyama yoyote nikaweka Ndimu na Pilipili Mdudu anakua kasimama tuu hadi kero hili Suala lilitaka kunitilia aibu kwani Mimi huwa sipendelei kuvaa zile boxer za Kubana.

Je kitabibu hili limekaaje?
 
Pole sana mkuu....
Una kosa mambo mazuri.

Kapime afya yako na nyama unazokula pia ni tatizo au yawezekana sehemu unayokula hawapiki ipasavyo.
 
Hahaaa, Jaribu supu ya kitimoto mkuu, ni supu ya pekee sana na hutoacha kuitumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom