Wadau habarini za muda.
Naomba msaada wenu kwa wiki moja sasa nashindwa kuangalia chochote youtube, inanijibu connection to server is lost. Msaada wa haraka jamani kuniokolea jahazi hili wadau. Baraka na Amani zitokazo kwa Mungu ziwe nanyi daima
mimi yangu ilinisumbua for two weeks, ilikuwa inaniambia fail to connect, nimehangaika....mwisho wa siku nika set pale kwenye APN...sasa inafanya kazi vizuri.