msaada: nikifungua website https kwa net ya kawaida haikubali

msaada: nikifungua website https kwa net ya kawaida haikubali

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
wakuu hebu nipeni ufumbuzi nini nifanye maanake nikifungua website kubwa kama youtube or gmailg, facebook na kdhalika huwaga hazifunguki zinasema setting error wakati nyengine mbona zinafunguka au mpaka nitumie opera or uc ndio zinafunguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom