Kama ina memory card itoe na jaribu kuwasha, kama itawaka ndani ya muda mfupi tatizo litakuwa kwenye hiyo memory card. Na iwapo tatizo la kuchelewa litaendelea ifanyie Factory Reset hiyo simu yako. Na vile vile usipende kutunza msg nyingi kwenye inbox kwa muda mrefu.