UCHORAJI NI SOMO PANA NA MUHIMU MNO:
Sasa je unataka kuchora nini?
Anza hapa:
Mchoro ni nini; Mchoro /Uchoraji ni lugha inayotumika kuwasilisha mawazo,ubunifu na aina yoyote ya fikra kwa mlengwa.
Aina za uchoraji ziko kuu mbili;
1.Uchoraji wa picha/ Pictorial Drawing
2.Uchoraji wa Ramani/ Orthogonal Drawing(Orthographic Projection)
Aina za Pictorial Drawing ziko nne;
i)Isometric drawing
ii)Oblique drawing
iii)Axonometric drawing
iv)Persective drawing
NB: Perpective drawing ndio uchoraji wa picha halisi ya kitu ..iwe mtu,mti,gari n.k
Kazi hii pia ndio inayofanywa na Camera.
Aina za uchoraji Ramani (Orthogonal Drawing)ziko tatu;
i) First Angle Projection
ii) Third Angle Projection
iii)Combine (First & Third)
Sasa lazima ujue ww mwenyewe unataka kuingia au kujifunza kuchora kitu gani specific.
NB: Asili ya somo hili ni Greece (Ugiriki) kwahiyo hata Terminologies zake ni za Kigiriki.
Karibu kwa maswali na ushauri!