eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 476
Kujitambua ni tiba no 1 , wakati no 2 ni kuitambua hadhira kwa haraka then cope up na deliver kinachohitajika. No 3 jifunze lugha za masikhara masikhara huwa njia nzuri sana kuwazoea watu, hakuna kundi lisilohitaji kitu hii. Ila unapo lazimika kuzungumza point pia usimamie point ili kujenga heshima yako. Ni hayo...Habari zenu..mimi ni kijana wa miaka 22 nna tatizo moja am so poor in socialization...nikienda mahali nakua mkimya sana hadi niwazoee sana ndo nitaanza kuchangamka...tatzo hili limefanya baadhi ya watu wadhani labda nna dharau au kiburi...nifanyeje kutatua tatizo hili...natanguliza shukrani
Kila muda akenue si ataoneka mtamboJaribu hata kuwapa smile mara kwa mara sio kununa nuna kama vile wanaboa na usisahau kuwasalimia. Wanapoongea cha kufanya wote wacheke basi smile hata kidogo na sema neno lisilo yes au no. Ila liwe kama vizuri, oh ok, wow, etc inatosha hadi ujichangamshe
Umuhimu ukija kujua kuongea usiongee sanaaaaa, ni viziri ulivyo lakini kidogo ongeza kama juu. Na uongee kwa kusoma mood za watu sio kuropoka tu.
Hahahaaa mimi nakuambia ila sijui upole kiaina, mtu kama wewe nitakusoma na kujua ni upole au majivuno bila tabu. Nina uongozi wa kuanzisha mazungumzo, wenye mafanikio makubwa na watu huwa hawanichoki. labda mtu awe na wivu na mimi
Kila muda akenue si ataoneka mtambo
Ishi utakavyo mkuu, huwezi kumfurahisha kila mmoja, kwani kuwa kwako kimya kuna kunakuathiri nini?Wakuu mimi kusalimia nasalimia but nkikaa na watu au mtu ambaye sijamzoea mara nyingi napenda kua kimya tu sipendi kuongea nakaaga kimya tu
Read,read, read...read books my dear.Habari zenu..mimi ni kijana wa miaka 22 nna tatizo moja am so poor in socialization...nikienda mahali nakua mkimya sana hadi niwazoee sana ndo nitaanza kuchangamka...tatzo hili limefanya baadhi ya watu wadhani labda nna dharau au kiburi...nifanyeje kutatua tatizo hili...natanguliza shukrani
I like this, plus socialization is not everyone's cup of tea!kukaa kimya bonge la advantage,,,!!
you get to learn alot from people...
their habits, weaknesses, addictions.....
na hata ukiskia dili kisha ukafata mtu pembeni ni rahisi kupata maana unaonekana mtu straight si wa utani utani...
usitamani kuishi kama mtu.... take what you think is your weakness and turn that into being yo strength