Msaada:nifanyeje nipate ajira?

uniquelady

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
420
177
Nimehitimu Bachelor of arts in statistics since 2013 nimejaribu kutafuta ajira lakini imekuwa ngumu na interview nimefanya nyingi especially za utumishi but naishia written interview ,
He nakosea wapi labda?
Niongeze nini kwenye juhudi zangu ili niweze kupata ajira?
Mawazo yako ni muhimu sana
 
natamani kukushauri kistaarabu ila nisamehe
jibu ni think out of the box usikariri kupata kazi uliyosomea natamani kukupa mfano wangu ila nitaonekana najikweza ,usichague kazi yoyote sio lazima uanzie serikalini
 
Sichagui kaz ndugu kwani tangia niamlize nshafanya kazi sehemu mbali mbali(private)na sasa HV kuna sehem nimejishikiza inanisaidia kuendesha maisha yangu ya kila siku
 
tupe huo mfano wako tujifunze..unaogopa nani anaekujua kwan humu?
 
Sichagui kaz ndugu kwani tangia niamlize nshafanya kazi sehemu mbali mbali(private)na sasa HV kuna sehem nimejishikiza inanisaidia kuendesha maisha yangu ya kila siku
Sorry, hiyo kazi unayofanya sasa hivi haikulipi sana.? au lengo lako ni kufanya kazi serikalini.? Maana ajira zimekuwa ngumu, kama hiyo sehemu unayofanya inakulipa ni bora ukajikita zaidi hapo na kufanya kazi kwa bidii zote, ila kama haikulipi ndo nitapata pa kuanza kukushauri
 
Hainilipi sana napata tu hela ya kulipa bills na maisha yanaendelea huku nikisaka hiyo ajira ...
 
Na unajua hizi kazi za private ,siku yoyote unatimuliwa hata kama unawafanyia kazi zao vizuri na kujituma...
 
Back
Top Bottom