Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,914
- 22,355
Ukiingia kwenye bios setup hdd inaonekana?
NB series hizo nyingi ni 4th generation mkuu huwa zinasumbua windows 8 na 10, jaribu hapo windows 7 lite
Nilikuwa napiga windows 8. Harddisk inasoma kabisa wakuuUkiingia kwenye bios setup hdd inaonekana?
Hiyo case sio hdd...mi nishakutana nayo sana zaid ya mara 4Inshu itakuwa hard disk sasa
Nimeshakutumia mkuu [emoji1545]Fany mpango nipate mawadiliano yako Skype WhatsApp ama Facebook nikupigie kwa video ili tu fix hiyo shida chap free kabsaa
mkuu uliweza kutatua ili tatizo maana hiyo shid imenitokea mimi
Basi tatzo hapo itakuwa kwa % kubwa ni flash(may be in virus) Kama sio basi hyo window uliodownload, Mimi nishawahi download windows mara nyingi tu na website nayotumiaga kudownload ni "get into pc"
Mkuu Nina uhakika flash haina virusi na windows nili download kutoka Microsoft