Msaada: Ni kozi ipi kati ya hizi itamfaa mdogo wangu?

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,856
Reaction score
6,442
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana sasa kwa bahati mbaya matokeo yakawa mabaya kabisa (0). Nilimwambia arudie mtihan ila amedai anataka kwenda VETA, nimeenda kuchukua form nafasi zilizopo kwa mkoa huu tuliopo ni hizi:

Electrical instrallation,
Carpentry and joinery,
Masonry and bricklaying,
Welding & fabrication,
Auto body repair,
Auto electric,
Motor vehicle mechanics,
Design sewing and clothing technology,
Handloom weavind.

Sasa nauliza kutokana nahizo fani hapo juu niipi inaweza kumsaidia iwe kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe. Naomba mnisaidie wandugu japo kimawazo.
 
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana sasa kwabahati mbaya matokeo yakawa mabaya kabisa (0). Nilimwambia arudie mtihan ila amedai anataka kwenda veta, nimeenda kuchukua form nafani zilizopo kwamkoa huu tuliopo nihizi:

kwani veta long course wameanza kuchukua fomu??kozi inaanza lini??
 
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana sasa kwabahati mbaya matokeo yakawa mabaya kabisa (0). Nilimwambia arudie mtihan ila amedai anataka kwenda veta, nimeenda kuchukua form nafani zilizopo kwamkoa huu tuliopo nihizi:
Electrical instrallation,
Carpentry and joinery,
Masonry and bricklaying,
Welding & fabrication,
Auto body repair,
Auto electric,
Motor vehicle mechanics,
Design sewing and clothing technology,
Handloom weavind.
Sasa nauliza kutokana nahizo fani hapo juu niipi inaweza kumsaidia iwe kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe. Naomba mnisaidie wandugu japo kimawazo.
Arudi shule tu
 
Capentry. Vijana wengi wanaikimbia. Pana ombwe ktk hiyo fani especially watoto wa kike. Ni fursa ujenzi unaendelea na hautarajii kukoma. Viwanda vya furniture vimeanzishwa vingi ajira nje nje. Pia ni rahisi kujiajiri especially akiwa fundi mzuri anayeaminika.
 
Nashukuru kwaushaur kiongoz
 
Aingie Veta cozi ya COMMERCE AND COMPUTER. kisha mtihani arudie baada ya mwaka mmoja. Kwani atakachikisoma atafanyia pia mtihani wa kidato cha nne plus mengine anayohitaji kufanya. Kusoma cozi hiyo mindser yake ya kishule haitatoweka. Na kisha kuendelea na masomo yabiashara na au uhasibu baadae. WAZO LANGU.
 
Arudie mtihani please! Hii ni kwa faida ya yeye baadae. Mimi mwenyewe nimesa veta baada ya kufeli. Niliporisiti mtihani nilipata nafasi mbambali ya vyuo na hadi sasa niko chuo nachukua degree, na mkopo nimebahatika. Bila form four hakuna future.
Usidanganye watu kila mtu ana mapito yake kimaisha unaweza ukapita wewe ukafanikiwa na mwingine aka fail .
 
Usijenge mind yako kwamba Veta wanachukua vijana wa 0,
 
Aingie Veta cozi ya COMMERCE AND COMPUTER. kisha mtihani arudie baada ya mwaka mmoja. Kwani atakachikisoma atafanyia pia mtihani wa kidato cha nne plus mengine anayohitaji kufanya. Kusoma cozi hiyo mindser yake ya kishule haitatoweka. Na kisha kuendelea na masomo yabiashara na au uhasibu baadae. WAZO LANGU.
Dah kwamkoa tuliopo hiyo fani nadhan haipo nanilitaka apige day siunajua tena mambo yauchumi kak
 
Back
Top Bottom