Yani unasoma makitu yote haya alafu unakuja kupangiwa kazi na diwani!!habari wakuu
nahitaji kujua kitabu kitakacho niwezesha kutoboa phy ya advance maana nmepita thread moja humu nimesikia moto wake chand tayar ninacho nahitaji niongeze ata viwil vya phy mapema
nmekuelewa mkuuHauhitaji vyote hivyo kikubwa mbongo yako iwe Inashika mawimbi vizuri isiwe kama TBC taifa utaishia kuwaazima wenye kiwango chakushika mawimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ndo bongo ucpojua kuongea kazana kuandikaYani unasoma makitu yote haya alafu unakuja kupangiwa kazi na diwani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππkwann mkuuMkuu mpaka uende shule utakuwa umesha jaza theard kibao,
Sent using Jamii Forums mobile app