Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,137
- 3,323
Habari wana jf wenzangu? Naomba kujua ni app gani inaweza saidia kupunguza ukubwa wa video ninazorekodi kwenye simu bila kupoteza ubora. Yaani unakuta unarekodi video dakika moja tu ina ukubwa wa mb 30 au 10. Hii upelekea ukiituma kwa watu kupitia whatsap wanashindwa kuipakua kwakuwa inawamalizia vifurushi vyao.