wewe umesaidia,ushauri walio mpa wakumuita mbwana mifugo sio ushauri?Watu kama mazuzu vile, hakuna yeyote ambaye amesaidia mpaka hapa
Tumemuuliza yupo mkoa gani ili iwe rahisi kumoa mwongozo hajajibu, na pia ni vyema akamwita vet kwa uangalizi wakina.Watu kama mazuzu vile, hakuna yeyote ambaye amesaidia mpaka hapa