Msaada: New baby names

If you find that very creative..why didnt you call yourself NDUGAI or KAMUHANDA!! instead of that chicky name you are using???:biggrin1:

uliza kwann wazazi wake hawakumpa sio kwann anajiita jina alilonalo sasa hivi.....kama vipi zaa wako mpe moja wapo ya hayo kati ya ndugai na kamuhanda
 
this is too much jamani? hata jina la kumuita mwanao hadi ufanye google search! kichwa chako kinaweza kuwaza nini sasa? chaaaaa!
mimi even tho bado nipo bikra ila majina ya watoto wangu ninayajua tayari!

Mama

Unapofika wakati ambapo unatarajia kupata mtoto especially mtoto wako wa kwanza you almost want the whole world to know that...unaweza kuwa na majina tayari ya mtoto mtarajiwa lkn unaona hayatoshi/hayafai kwani HUYO ANAYEKUJA NI MTU MUHIMU SANA kwenye maisha yako

Huyu ndugu yangu simply yupo excited kwa huo ugeni....imetutokea wengi...ununuzi wa kitanda cha nguvu cha mtoto kila anayekuja kumuona ASHIKE ADABU ...nguo za mtoto ...na mambo mengi yanayofanana na hayo....

Ni tukio kubwa...kuleta kiumbe kingine kwenye dunia siyo jambo dogo...ni jambo la heshima pia

Hivyo simshangai...nampongeza in advance na MUNGU atawasaidia ukizingatia ni suala la kufa na kupona as well
 
Daniella, Millen, Lisa, Arabella, Meryln, Bethan, Caren, Joline, Moureen ( KE)

Alvin, Brian, Hanson, Ethan, Austin, Ryan, Ian, Warren, Nathan, Jordan, ( ME)

Haya majina mie kuyapenda munooo..!!

Wajua TABIA za wenye majina ya Namna hiiiiiiii? unampa toto jina anafanya vituko kumbe wenye jina ka hilo wanatabia/vitabia vya namna fulani
 
Alvin/ Alfred/ Emmanuel wakiwa wa kiume
Precious/ Miriam wakiwa wa kike
 
Kwani lazima yawe ya kizungu? kama unakubaliana na majina ya ki asili waite haya ke-Inindo lya ng`ombe,me-kakumbi ka duhu.
 
acha hila, wanga, na roho mbaya!!kha! huna jema? aarrghhh!!!!
You have witnessed yourself that you are lazy in thinking! Just choosing a name, you need an assistance? Now why cant you pick the ones that creative people have chosen for you? On top of that, are you sure the delivery will be safe? What out!

 
Jina linalomfa katika kipindi hichi ambapo taifa letu limefanya vizuri sana na kubeba umaarufu mkubwa huku likijitangaza kuwa miongoni mwa nchi vinara wa dawa za kulevya muite"SEMBE".
 
Erasmus
Erasmos
Anno..fo me
Emmy
Specioza..for ke
 

Shantaaaaa umechoka!!!!
 
this is too much jamani? hata jina la kumuita mwanao hadi ufanye google search! kichwa chako kinaweza kuwaza nini sasa? chaaaaa!
mimi even tho bado nipo bikra ila majina ya watoto wangu ninayajua tayari!
hongera bora umeyajua mapema, na nyie wenye bikra mkifumuliwaga siku ya 1 tu mnashikaga, sasa naona unawakilisha vyema wazazi nipendeni.
 
Haya umempa jina gani mwanao/wanao? Manake option kibao zishatoka hapa...plz lete feedback!! Mi mwanangu nimemwita EMELYN...just 5 days back!!

 
I think the best thing to do was to pray and let God be the one to give you a name which goes with his purpose in that child on earth.
 

Duh!haa haaaahaaaa
iko kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…