Msaada network iPhone 7

Nimeweka laini baada nusu saa ikapoteza network. Msaada wakuu natumia laini ya Voda.

Angalia kwa nyuma model yake, kama ni A 1660, A1779, au A 1780. Hizi zilitangazwa kuwa na hiyo shida, wanazifanyia repair bure unaweza kwenda kwa Autorized dealer yeyote akakurekebishia ama akakuonesha kwa fundi aliekua authorized.
 
Hii ni A1661
 
Connect cmu yako to Wifi kisha nenda settings na utafute time and date setting, Enable Auto timezone kisha subiri imalize kuset timezone. Tena kwenye settings na this time tafuta Carrier, toa automatic mode na uweke manual mode kisha cmu itasearch network then utachagua network kulingana na simcard yako na cmu itapandisha signals kisha unaweza irudisha to Auto mode. Ikigoma reboot cmu yako na urudie zoezi. Mara nyingi iphone huwa na ugonjwa wa Searching au no service baada ya kudisconect battery hvyo ni shida ya kawaida na pia hutokea kwa iphones ambazo ziko locked to soecific networks so hyo yako kama hujawahi itumia with local networks yawezekana pia ikawa locked. Kama umewahi itumia bac fuata hyo tuto na utafanikiwa
 
Nimejaribu mkuu bila mafanikio
 
Back
Top Bottom