Msaada ndugu zanguni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ndugu zanguni

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Madikizela, Aug 9, 2011.

 1. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mnamo mwezi wa kumi mwaka jana nilipata ajali ambapo niliumia kiasi na kulazwa kwa wiki mbili Hopspitalini, Dreva wa gari alifariki dunia papo hapo, Gari ilikuwa na comprehensive insurance na bima walilipa sambamba na kuchukua gari iliyopata ajali, nilipo fuatilia madai yangu waliniambia nipeleke nyaraka mbali mbali kama vile PF 3, PF 115, PF 90 Na risiti za matibabu.

  Baada ya kupeleka nilijibiwa kuwa siwezi kulipwa kwa kuwa dreva alifariki hivyo hakuna wa kumlaumu. Je hii kweli ni haki kwa kampuni hii ya bima ya LION INSURANCE kuninyima haki yangu?

  Naomba msaada wajameni
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280

  Siyo haki,nenda mahakamani,mtafute wakili akusaidie.
   
 3. Aloysius

  Aloysius Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiulize haki huko, hauwezi ukaipata. Haki inaulizwa mahakamani. Katika sheria za madai deni halifi na mdaiwa. nitafute nikuonyeshe wanasheria watakao kusaidia mara moja kwa gharama nafuu namba ni 0654649728. Kama umepata kwingine pia songa mbele mpaka kieleweke.
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa. Kwani wewe unaelidai ni ile insurance ya gari na sio insurance ya Dereva.

  Una haki kabisa na tafuta haki yako kama walivyokushauri wengine,

  Kila la kheir
   
Loading...