Habari zenu nyote!
Nipo dar naenda kaskazini mwa nchi,
Sasa naomba kujuzwa gari gani (bus) nzuri niitumie kwa kesho maana naelekea moshi Kilimanjaro,?
Naombeni msaada huo maana Mimi ni mgeni huko.
Asanteni na Mungu awalinde.