Msaada ndugu zangu,

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,963
1,616
Habari zenu nyote!
Nipo dar naenda kaskazini mwa nchi,
Sasa naomba kujuzwa gari gani (bus) nzuri niitumie kwa kesho maana naelekea moshi Kilimanjaro,?
Naombeni msaada huo maana Mimi ni mgeni huko.
Asanteni na Mungu awalinde.
 
Panda juu kabisa kule ya hili jukwa kuna thread maalum itajibu maswali yako.
 
Kaka mm sio mzoefu lkn subiri wasamalia wema watakuja kukujuza na mungu akubariki ktk safari yako amina
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom