Msaada ndugu zangu Pc yangu haifunguki

kitonger

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
1,149
1,511
Habari wakuu..Nina laptop ya Dell..nimeiwasha Jana iliandika maneno hayo.msaada tafadhali.
IMG-20200409-WA0060.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yah bro imeanza tu..Kuna mdau kasema harddisk itakua ndo ina shida..wengine wanasema windows..ndo nataka nikacheki vyote hivyo pamoja na ku install new windows.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aina mbili za partition za hard disks. Kuna MBR ambayo ni mfumo wa kizamani kidogo na kuna GPT ambao ni mfumo wa kisasa.

Kama sijakosea MBR huwa inaenda na Legancy/EFI na GPT huwa inaenda na UEFI.

Ukiona umeinterchange hapo basi ndio itakuandikia hayo maneno...
 
duh mkuu unaenda deep Sana .salute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom