Msaada ndugu zangu japo ushauri nina certificate of procurement and logistics.

NURDIN.HAMIS

Member
Mar 9, 2013
79
5
Kama nilivyo eleza hapo juu nina certificate of procurement and logistics management ambayo nilisoma chuo cha uhasibu ( TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANT.(T.I.A),lakini kutokana na matatizo ya kifamilia nimeshindwa kuendelea na elimu ya yangu japo result zangu zilikua nzuri semeter zote mbili naomba japo ushauri wenu tu wadau nijue pakuanzia maana nahisi ubongo umestaki.my no. 0713-626027.

Asanteni .
 
pia kama utatulia unaweza kuanza kufanya mitihani ya bodi ya procurement kwa stage ya foundation hii gharama yake ni nafuu kuliko diploma na ni professional examinations .. pole sana
 
pole dogo, mie pia nimemaliza hapo 2011 advance diploma ya procurement and supply bdo naganga ajira ngumu. jaribu kusoma bodi itakusaidia zaidi..
 
Nafikiri kwa asilimia kubwa waweza pata majibu. Jaribu kutafakari na kuangalia fulsa kadhaaa za ujasiliamali
 
Back
Top Bottom