Msaada ndugu zangu heslb

luofe

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
330
142
Kuna ndugu yangu namsaidia kufanya appeal ya bodi ya mikopo lakini kila tuki log in inaleta personal information only zile sehemu za kujaza info nyingine haziji ko anayefahamu jinsi ya kusolve hilo tatizo anisaidie!!!!!!!
 
Imeshakaa sawa ilikua inazngua kweli jaribu ku-login tena lakini password ndo zile digit za pale mwisho wakati unaanza ku-register
 
taarifa rasmi ya bodi; tatizo wanasema ni system ya network ktk ofisi zao hivyo wataalamu wao wanashughulikia kuanzia sasa, mwanzoni hawakuwa na taarifa juu ya hilo tatizo.
 
jamani huku bado inasumbua! still inaleta personal info tu"
 
Back
Top Bottom