Msaada ndugu zangu hasa madereva

Msaada ndugu zangu hasa madereva

Joined
Jul 3, 2020
Posts
6
Reaction score
2
Mimi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi au connection kuweza kupata kazi za magari hasa makubwa ya masafa marefu naipenda sana kazi hii ila cjui taanzaje au wapi tafanikisha ndoto yangu.

Hivyo kwa yeyote anaefaham au anawza kunisaidia au ushauri namba yangu ni 0688433945.

Natanguliza shukrani.
 
Kwa kifupi sana kaz za udereva hupatkan huko mtaan sio humu mara nyingi. Neenda garage yeyote au yard kubwa za semi omba kaz za kusaidia ufundi ...baadae onesha juhud sana na uaminifu anza kujipendekeza kwa madereva ili wakuweke hata kushoto .

Ukiona umeshakuwa konda possibility ya ku master gar n 90% baada.. kwa kifupi kaz za udereva katika makampun n za kujuana coz hata ukiitwa test watataka mdhamin mmoja ndan ya kampun soo ww ndg kama hakuna anayekujua utapataje kaz nenda magetin mule kaa sana azia ufundi saidiz....OVER
 
Ahsant mkuu shukran sana
 
Mimi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi au connection kuweza kupata kazi za magari hasa makubwa ya masafa marefu naipenda sana kazi hii ila cjui taanzaje au wapi tafanikisha ndoto yangu.

Hivyo kwa yeyote anaefaham au anawza kunisaidia au ushauri namba yangu ni 0688433945.

Natanguliza shukrani.
Ushauri tu kazi hizi huwezi pata maeneo ya mijini kwakuwa wenye uhitaji kama wako ni wengi sema tu hawajapost humu hitaji lako ni rahisi kupata mikoani hasa kwenye makampuni ya ujenzi wa barabara huko kuna magari mengi na madereva huwatumia sana watu kama nyie anapumzika au unapata kinywaji we unaachiwa gari lakini uitegemee malipo kwa haraka na kipindi hiki ndo kipindi cha miradi hiyo.kila la kheri ndugu
 
Ahsant mkuu
 
Back
Top Bottom