MSAADA: Nawezaje kuondokana na msongo mkali wa mawazo?

MSAADA: Nawezaje kuondokana na msongo mkali wa mawazo?

K vant kubwa 1 na tonic water

Nyimbo 7 au 8 za Ferre Gola, Fally Ipupa au JB Mpiana ziwe jilani

Na movie 3 kila siku za mr bean au charlie champlin kila unapokuwa umetoka kula supu asubuhi

Baada ya hapo BANDO LA KUTOSHA HATA GB 5.5 Kwa ajili ya kudownload katuni, games kwa ajili ya mtoto na zitazobaki kwa ajili ya wewe mwenyewe kuingia JF, Twitter FB na xhamster
Duh, hii dose ni noma
 
Wapendwa please,

Naombeni msaada namna gani naweza kupona msongo mkali wa mawazo (depression) linanitesa mno.

Sina uwezo wa kuonana na wanasaikolojia Ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona linazidi kukua na sasa Mara kwa mara.

Napatwa na maumivu ya kichwa, kizunguzungu, sometime napoteza hamu ya kula nk.

Nisaidieni nina mtoto wa miaka 3 nampenda sana.

Naogopa kumuacha mpweke kama nitakufa.
Acha utapeli!
 
Back
Top Bottom