Msaada: Naweza vipi kufix tatizo la invalid sim?

Poo pogba

Member
Joined
Aug 23, 2021
Posts
6
Reaction score
1
Nina simu ya button kila nikiweka line zinasoma Invalid sim,tatizo alija Anza muda.Kwa yeyote naomba msaada wa namna naweza kufix hili tatizo .
 
Angalia km IMEI za sticker zako zinafanana na IMEI kwa kubonyeza *#106#

Back
Top Bottom