Msaada:Naweza kusoma Programmes hizi Chuo Kikuu?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Niko kwenye mchakato wa kuomba vyuo kupitia TCU. Nauliza kama inawezekana kusoma programmes za "Bachelor of Education in Science au Science with Education" ikiwa mimi nilisoma EGM? Naomba pia mnijuze kuwa ipi nzuri. Na kuhusu minimum points kwenye "Students Guide Book",je wanazingatia sana katika upangaji wa nafasi ktk chuo?
 
Nakushauri tu ucje ukaomba makoz kama bcom,BBA,BAF etc mwaka huu tcu na heslb wamespecfy kabsa kwamba hzo kozi co za vipaumbele so unaweza pewa mkopo au ukanymwa.over
 
Nimeliona hilo over,sasa mi nauliza naweza kusoma hzo nilizotaja hapo juu ikiwa nimesoma EGM?
 
Niko kwenye mchakato wa kuomba vyuo kupitia TCU. Nauliza kama inawezekana kusoma programmes za "Bachelor of Education in Science au Science with Education" ikiwa mimi nilisoma EGM? Naomba pia mnijuze kuwa ipi nzuri. Na kuhusu minimum points kwenye "Students Guide Book",je wanazingatia sana katika upangaji wa nafasi ktk chuo?
unaweza kusoma bachelor of education in science na teaching subject yako ikawa maths na si vinginevyo!!! thanks!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom