Wakuu nahitaji printa kwa ajili ya ofisi yangu..napenda iwe na angalau spcs zifuatazo:
1. Speed angalau 50ppm
2. All-in-one yaani scanning,printing and copying
Nimejaribu kuchek online kwenye ebay,amazon nk..naona hawaship kuja tanzania..napenda pia kujua namna gani naweza kuagiza kutoka nje..na wapi..
Shukrani