Msaada: Naweza kupata wapi kifaa cha palizi ya mpunga na kwa bei gani?

fedrom

Member
Mar 25, 2016
6
3
e13bff20b71d9a7d3f9b5f46e5ac53b8.jpg
 
Kama hicho exactly itakua ni ishu,ila kwa msaada zaidi nenda kwenye mtandao unaitwa alibaba. com,kaandike rotary weeder au cono weeder au kwa hapa dar es salaam nenda mtaa wa nkurumah kuna duka la wahindi linaitwa auto sokoni hapo unaweza kupata kuna vifaa vingi vya kilimo au wanaweza kukuelekeza sehemu nyingine utakayoweza kupata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom