Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,746
- 22,455
Wakuu,
Kwa kawaida sipaki mafuta mara kwa mara usoni kwakuwa uso wangu unamafuta. Hivi karibuni nimeanza kuwashwa sana uso hadi shingoni na kuota vijipele vidogodogo. Na kuvimba pia.
Nimetumia baadhi ya sabuni za kuosha ila tatizo linaisha na linajirudia.
Msaada jamani..