Msaada: Nawashwa navimba uso na shingoni

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,758
Wakuu,

Kwa kawaida sipaki mafuta mara kwa mara usoni kwakuwa uso wangu unamafuta. Hivi karibuni nimeanza kuwashwa sana uso hadi shingoni na kuota vijipele vidogodogo. Na kuvimba pia.

Nimetumia baadhi ya sabuni za kuosha ila tatizo linaisha na linajirudia.

Msaada jamani..
 
Jaribu kuachana navyo visikupe tabu.
Hata kama ni hamu ya aje, maadamu inakudhuru uache tu
Nimeacha wala sili tena ila bado nawashwa, yani hapa nipo job ila nawashwa..mpaka mwenzangu kaniambia nimevimba uso
 
Nenda hospitali ujuzwe tatizo, inaweza kuwa allergies au Hali ya hewa ukienda utapata uhakika
 
Nimeacha wala sili tena ila bado nawashwa, yani hapa nipo job ila nawashwa..mpaka mwenzangu kaniambia nimevimba uso
Acha kukuna,yawezekana mkuno ndo umeongeza tatizo pia kunywa maji mengi ikiwezekana piga hata lita nne kwa leo na kesho
 
Nature ya uvimbe ikoje kama ina appear kama impetigo or folliculitis or any form of abscess inaweza kuwa umepata bacterial infenction jaribu kutumia antmicrobial drugs kama tetracyclines but mashart kuzingatiwa
 
Asante
 
Nimeacha wala sili tena ila bado nawashwa, yani hapa nipo job ila nawashwa..mpaka mwenzangu kaniambia nimevimba uso
Jaribu Castor oil inasaidia ukiwa na allergy kwani hakuna dawa mbadala bali kuacha.
Ila inaweza kuwa kitu kingine kama nuts.
Tumia mda kama wa wiki ukimonitor unavyokula na kuweka kumbukumbu ni ipi ina trigger hiyo allergy.
Nakuombea upone kwani allergy ni hatari sana kwa wengine maana huwa wanabanwa pumzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom