Msaada, nauliza jiko la gesi la nikai

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,797
6,795
Habari za siku

Natafakari kuanzisha biashara baada ya kujiassess vya kutosha nikapewa wazo la kununua jiko la gasi la Nikai.

kama unajua na kulifahamu lipoje. Je moto wa gasi la Nikai upoje maana kuna jiko fulani lilikuwa linaitwa Balajj nilikuwa nalo sasa lina matatizo

msaada wenu tafadhali
 
Nikai ni jiko nzuri niliwahi kutumia sijui labda wamechakachua kwa sasa
 
Habari za siku

Natafakari kuanzisha biashara baada ya kujiassess vya kutosha nikapewa wazo la kununua jiko la gasi la Nikai.

kama unajua na kulifahamu lipoje. Je moto wa gasi la Nikai upoje maana kuna jiko fulani lilikuwa linaitwa Balajj nilikuwa nalo sasa lina matatizo

msaada wenu tafadhali
Nilinunua nikai mwaka 2007 linakaa hadi 2016.miaka 9.

Nakushauri kununua nikai.
 
Asante Amani mfaume

mimi sipo dar na wala sijawahi kukanyaga dar. nipo huku Ngudu, najua hupafahamu.

vip Nikai lina moto mkali wa bluu maana naanza biashara za kukaanga
Ngudu kumbe nisehem kuna Dada ana lodge maeneo ya azam chamanz kule alikua mteja wangu wa fen alipo fungus lodge OK sahv kampuni zipo nyingi zilizo ingia kwenye soko la ushindan we ukisema nikai nzuri mwenzako atakwambia kuna okoa mazingira nzuri Mara pine tech mara moelectrico kuna kiptech na nyingine zote n nzuri kwa alie wahi kutumia mm naona kiptech ni nzuri
 
Amani mfaume

nauliza nikai kwa sababu ndo zinapatikana huku nilipo.

ngudu ipo mwanza, kutoka ngudu mpaka mwanza ni km 75.

kwa kuwa wewe una uelewa na haya majiko, nikai ina faida zipi na hasara zipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom