YES YOU ARE RIGHT .Inaonekana una uelewa mdogo sana kwenye kitu kinachoitwa thamani ya mtu na kitu..
Ni sawa unambie gari ni gari tu, haijalishi iwe Vitz au Landcruiser cha msingi ni kufika tu..!!!!!
Pole sana, inaonekana na wewe upo humo humo kwenye INIFINIKISI na TEKENOO
Kumbe huangalii kitu bora, Ni vile una wamba ngoma sio, ngozi lazima ije kwako.YES YOU ARE RIGHT .
Yes your rightKumbe huangalii kitu bora, Ni vile una wamba ngoma sio, ngozi lazima ije kwako.
Nimesoma maneno manne ya mwanzo nimeshindwa kuendelea. Pambana na hali yakoYes your right
Simu ni simu tuu , cha msingi itimize Kila kazi mfano , kutuma sms , kutokea call au kutunza kumbukumbu .
Sawa Mr.Brand
Usilazimishe mtu akanunue simu ya Bei sawasawa na KIWANJA cha UKUBWA WA UREFU 30x30 mapana
Wakati anaweza nunua cha laki 3 akapelekea maisha mujarabuuuu kabisa .
Hata hizo za gharama kubwa Zina mapungufu yake .
Yes you are rightNimesoma maneno manne ya mwanzo nimeshindwa kuendelea. Pambana na hali yako
Nina mashaka sana na mzigo ulio kalisha katikati ya hayovmabega mawili.Yes you are right
ENDELEA KUDHARAU VITU VIDOGO .
HATA SHILINGI MOJA INA THAMANI KUBWA SANA KWENYE MALIPO YA MILLIONI 1 (1,000,000)
HAUWEZI KUBALIWA BENKI , ULIPE LAKI TISA ELFU TISINI NA TISA MIA TISA TISI NA TISA (999,999)
KWA NUNUNUA BIDHAA KWA SABABU HAIJATIMIA MILLIONI 1.
MAANA BEI INAYO HITAJIKA NI MILLIONI 1 , SO USIDHARAU HATA SHILINGI MOJA ,
KI UHALISIA TUSIDHARAU HATA KI SIMU CHA ITEL MAANA KINA PERFORM KAZI KAMA ZA IPHONE TUU KASORO BAADHI..
#YES_YOU_ARE_RIGHT.
THE BEST SOLUTION TO AGREE WITH A FOOL IS TO SAY YES YOU ARE RIGHTNina mashaka sana na mzigo ulio kalisha katikati ya hayovmabega mawili.
Inajulikana mbona π sent from your infinix hot 12iWenye iphone ndo wenye sifa kuliko viumbe vyote duniani
Me niko na kampuni yangu isiyojulikana
Hivi ni app ilikuwa inajitumisha yenyewe aina ya simu au wale wahuni walikuwa wanaandika kwa akili zao timamuInajulikana mbona π sent from your infinix hot 12i
Ila watu wana dharau πππSasa infinix smart 6 mwaka huu kaka daah ni aibu kwa kweliπ¬π¬π¬π¬
Hapana sio dharauππIla watu wana dharau πππ
Hahahhahah aiseee sasa hiinndo dharau yenyewe cc Saint AnneOndoa simu unayoitumia.. huji kuuona tena huo weusi unaouzungumzia..
KhaaπππHapana sio dharauππ
Nilitaka kumchangamsha kidogo mkuu, maana me naona kwenye infinix smart wapo kama kwenye smart 9 hivi sasa ndo maana nimeshangaaa
Hata hivo infinix, tecno na itel hizi simu zimetengenezwa kwa matumizi ya miaka miwili mwisho minne sasa smrt 6 toka 2020 mpaka Leo π€£π€£
Watu wana kufuru sana πππππHahahhahah aiseee sasa hiinndo dharau yenyewe cc Saint Anne
Hahahaha sasa wewe umesema una hizo nyingine ila huyu mtoa mada hana options ππKhaaπππ
Watu mna kejeli.
Mimi Nina Tecno Camon 18
Since 2021
Ni simu ambayo ipo tu,
Nabadilisha hizi nyingine ila yenyewe siwezi kuidump,,ipo tu kwenye pochi.
Sema smart 6 kitambo sana 2022 nilitumia...nikaibwaga
Nikabadili tena,,muda huo camon 18 yangu ipo hadi kesho labda niibiwe.
Na wa kuiba hayupo maana imechoka.