MSAADA : Natokwa na damu ya hedhi siku 6 badala ya 4

Machuchu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,260
Reaction score
969
Zaleo.
Kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Mwezi wa 2 nimeblidi siku 6 na ya 8 ikaishia....nilishangaa sana kwa kua mimi huwa NABLIDI siku 4 tu nimemaliza. Nilijiona tofauti nikapotezea ila cha kushangaza na mwezi huu wa 3 mwishoni kuingia wa 4 naona hali ni hiyoiyo......ila cha kushangaza inatoka kidogo kidogo sana tena mno na si kawaida yangu pia ni NYEPESI sana kama mtu aliejikata.

Ilibidi niende Hosp. Temeke docta nikamuelezea akasema pengine homon zimechange ila hawezi nipa dawa hadi nipime utrasaund. Ila uyrasaund wikiend na sikukuubhuduma hakuna hadi j4. Je, kuna mtu alishawahi pata tatizo kama langu? Japo nasubili kesho niende Hosp. Napenda kujua zaidi kama wapo waliopatw na tatizo kama langu na walipata tiba ipi?

NB: siumwi na tumbo wala sijisikii vibaya wala dalili yeyote ya kuchoka na sijawahi kutumia dawa yeyote ya kuzuia ujauzito katika maisha yangu ila nina mtoto mmoja.
 
Pole je ulisha wahi kutoa mimba kwa njia yoyote ile
 
Pole,kesho nenda tena hospitali kwa ajili ya vipimo vingine kama ulivyosema na lisipoonekana tatizo basi jichunguze nyenendo zako huenda umebeba mume wa mtu mkuu.
 
Hapana ila iliwahi kutoka yenyewe ikiwa na miezi mi2 kwenda mi3 ila nikakaa kama mwaka ndio nikapata ingine nikajifungua uyu nilienae sasa
 
Pole,kesho nenda tena hospitali kwa ajili ya vipimo vingine kama ulivyosema na lisipoonekana tatizo basi jichunguze nyenendo zako huenda umebeba mume wa mtu mkuu.
Hapana mkuu
 
Basi pole sana na ni imani yangu kwamba hilo tatizo litaisha mkuu,ni swala la mda tu.
Kuna Dada yangu kaniambia nisiwe na was ni homon na kwavile siumwi popote hali itaisha ila kama namawazo nipunguze.
 
Zaleo.
Kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Mwezi wa 2 nimeblidi siku 6 na ya 8 ikaishia....nilishangaa sana kwa kua mimi huwa NABLIDI siku 4 tu nimemaliza. Nilijiona tofauti nikapotezea ila cha kushangaza na mwezi huu wa 3 mwishoni kuingia wa 4 naona hali ni hiyoiyo......ila cha kushangaza inatoka kidogo kidogo sana tena mno na si kawaida yangu pia ni NYEPESI sana kama mtu aliejikata.

Ilibidi niende Hosp. Temeke docta nikamuelezea akasema pengine homon zimechange ila hawezi nipa dawa hadi nipime utrasaund. Ila uyrasaund wikiend na sikukuubhuduma hakuna hadi j4. Je, kuna mtu alishawahi pata tatizo kama langu? Japo nasubili kesho niende Hosp. Napenda kujua zaidi kama wapo waliopatw na tatizo kama langu na walipata tiba ipi?

NB: siumwi na tumbo wala sijisikii vibaya wala dalili yeyote ya kuchoka na sijawahi kutumia dawa yeyote ya kuzuia ujauzito katika maisha yangu ila nina mtoto mmoja.
Pole mkuu

Hiyo avatar ni yako
 
Wakati mwingine mzunguko wa hedhi hubadilika bila kua na sababu yoeyote ya kitabibu nikiwa na maana ni katika hali ya mzunguko wake wa kawaida( normal physilogical change)..

wengi huwa wanaangalia imeambatana na nini haswa (association features)

-kama kuna maumivu makali sana ya tumbo ( dismonorrhae) au
- wangalia kama inaanbatana na utokwaji wa damu nyingi iliyopitiliza(menorrhagia)
-kifua kubana (chest tightness)
-kupumua kwa shida wakati wa hedhi(difficult in breathing)
-kuishiwa nguvu( general body weakness)
-kuona kiza (black out)
-maumivu ya kichwa makali(severe headche)
-mapigo ya moyo kupiga kwa nguvu(awerness of heartbeats) n.k

wakati mwingine hivi vyote hukuta havipo na mtu yuko kawaida hakuna cha damu nyingi kutoka wala maumivu makali..

ivyo kujilidhisha inabidi mtu afanye vipimo kama (Hormonal profile/chemistry) kuangalia na kujiridhisha juu ya hormones kubalance..
na
pia kufanya (abdominal ultrasound scan) kuangalia na kujilidhisha kila kitu uko chini kiko sawa au kuna shida

-then kama kuko sawa basi tutakuangalia ndani ya miezi kadhaa(observation period) maana hiyo itakua hali ya kawaida (normal physiological change)na baadae kurudi katika hali ya zamani..

au kama ultrasound itaonesha kuna shida utapewa tiba stahiki

ila kwa kesi yako naweza sema mabadiliko ya kawaida(normal physiological change)
maana hayajaambatana na dalili yeyote ya hatari(danger signs)kama nilizotaja apo juu kama,,,,
kama kutokwa na damu nyingi(no heavy bleeding) wala hakuna maumivu makali ya tumbo(no severe pain),,kupumua kwa shida(no difficult in breathing),,kifua kubana(no chest tightness),,,mapigo ya moyo kupiga kwa nguvu na kuyahisi(no awerness of heart beat),,kuona kiza(nk black out)

lakin fanya vipimo kuwa safe side zaidi uwe na uhakika
 
Sio yake hyo Avatar ni mdoli/ mzungu aliefanyiwa piercing
 
Asante sana umechambua vizur na nimekuelewa, Mungu akubariki kwa busara.....naenda leo kitakachojiri nitakutaarifu pia kwa ushauri zaidi asante sana
 
Nimeludi tena mkuu. Vipimo nilivyopata ni hivyo apo chini.
IMG_20180403_182626.jpg
IMG_20180403_182641.jpg
IMG_20180403_182647.jpg
 
Back
Top Bottom