Msaada nataka ninunue simu " nokia "

Raphael9

Senior Member
Apr 24, 2012
145
44
Habarin wana JF naomba untajie Simu ya NOKIA inayofunguka internet faster na ambayo ipo kwenye soko kwa sasa' ORGINAL"
 
Nokia Asha 200,201; Nokia Lumia 920; nokia c7. among ze 3, which is ze best?
 
simu za nokia ni zile E series na Nseries hizi asha upuuz mtupu

Ebwana kama vile umeniona,usithubutu kununua Nokia asha maana ni vimeo kupita kiasi.
We jina lenyewe limekaa kiuswahili swahili tu!
Mi nakushauri uchukue Nokia N95.
 
Ebwana kama vile umeniona,usithubutu kununua Nokia asha maana ni vimeo kupita kiasi.
We jina lenyewe limekaa kiuswahili swahili tu!
Mi nakushauri uchukue Nokia N95.

Yan mko sawa kabisa simu ni E na Nseries hizi asha zinazingua sana
 
ungetaja budget yako ingekuwa simpo kukusaidia
100-150k--nokia E71
150-200k--nokia E5
200-230k--nokia E72
250-350k--nokia C6,C7,N8
400-700k--nokia lumia's
........jiongeze
 
NOKIA LUMIA 800 zina window , kama unahitaji used lakini hali nzuri sema vizuri tuongee
 
dah lumia 610,710, na hii mpya 510 mpya ni laki 2 na nusu hadi 3 kwa used labda 1 na nusu hadi 2
 
Back
Top Bottom