Liberal1453
Member
- Oct 26, 2020
- 14
- 3
Unatakiwa mkiingia kwenye mahusiano deep mpaka ndoa basi mwendo uwe ndiyo huo huo, uendeleze ulichokianza, kumbuka jinsi atakavyo yapokea haya kwa siku ya kwanza atarajia maisha yake yote ukibadilisha tu mahusiano /ndoa chaliHabari za wakati huu wajuvi wa mambo, ndugu yenu nimekuja hapa kuomba Msaada wenu.
Ninaishi Dar es salaam, Niko na Mpenzi wangu ambae tuko mwanzoni kabisa mwa mahusiano, Si mtu wa uchumi wa chini na si wa juu sana naweza sema ni mtu wa Uchumi wa kati Juu (mazingira aliyokulia)...
Nimekuwa nikifikiria kumtoa out usiku mmoja ila kila ninachofikiria naona nakosea, nawaza kumpeleka sehemu fulani nzuri patulivu pa kupata chakula kizuri...
Naomba Mawazo yenu katika KuPlan huu mtoko, Kuanzia mapendekezo ya sehemu ya kwenda na gharama zake kama itawezekana.....
Nitashukuru kwa kila mawazo yenu.
*Hanywi Pombe.
*Anapenda Muziki ila hawezi cheza kwenye umma wa watu.
View attachment 1673581
Kama ulivyosema iwe Ni kitu ambacho anaweza kuendelea nacho.Sehemu atakae enjoy na wewe uta enjoy ni hotel za five star ambapo nje kuna swimming pool, pia kama kutakua na live band mkae huko mle, mchezi mziki, muogelee na mwisho mkalegezane viungo ni burudani sana na uwa inaleta heshima sana
Yes upo sahihi, lengo ni burudani atakayompa kama wakipata buradani na akafurahi basi iwe mara kwa mara sio baada ya muda aache au kusitisha kabisa, anaweza badilika akawa anampeleka sehemu mbalimbaliKama ulivyosema iwe Ni kitu ambacho anaweza kuendelea nacho.
Nashukuru Mkuu[emoji120]Babuuu unachokifikiria ndiyo sahihi hichohicho we mpeleke unakoona panafaa kwa upeo wako na jinsi unavyomjua, tutakushauri sehemu gani muende alafu akapachukia na kukuona lofa utakuja kutulaumu hapa. We mpeleke unapopafikiria ndiyo sehemu sahihi.
Mhhh mkuu hapa parefu sitaweza afford, lakini nashukuru siku nikizipata nitakumbuka hili[emoji120]Kama hampendi kurukaruka vijana wa kidimbwi
[emoji116]
Best Western coral beach hotel ,gharama zako mkuu 300k kama mtalala kabisa kesho muamkie kazini 600k itawatosha wote wawili
Msisahau kinga
ni ya kati tuuu isizidi 100KBudget comes first.
Nashukuru kwa fikra zako zenye msaada mkuu[emoji120]Unatakiwa mkiingia kwenye mahusiano deep mpaka ndoa basi mwendo uwe ndiyo huo huo, uendeleze ulichokianza, kumbuka jinsi atakavyo yapokea haya kwa siku ya kwanza atarajia maisha yake yote ukibadilisha tu mahusiano /ndoa chali
huko 5 star gharama zikoje mkuu...?Sehemu atakae enjoy na wewe uta enjoy ni hotel za five star ambapo nje kuna swimming pool, pia kama kutakua na live band mkae huko mle, mchezi mziki, muogelee na mwisho mkalegezane viungo ni burudani sana na uwa inaleta heshima sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji110]Mpeleke guest house tu kapige pumb.u nyingi sana..wachana na uzungu huo wa kwenda sijui out na wakati mhusika mwenyewe ana mabwana kibao..
Ndio Mkuu hili ni la kuzingatiaKama ulivyosema iwe Ni kitu ambacho anaweza kuendelea nacho.