Nafikiria ushauri wako, lakini MSA mhh!!
karibu.ukihataji habari zaidi uliza nipo nitakupa.ni raha utajiejoy.mombasa kwema tu
ahsante mkuu!!!
Nairobi hua tunakwenda kwa ndege. ndege nzuri ni KQ
Mabasi ya kuaminika panda Dar Express kwenda Nairobi. Kufikia hoteli ambayo utakuwa na uhakika unaweza fikia Kipepeo.
Uwe makini na wakora sawa, pia mabomu kwasasa si unajua Al shabaab hawatabiriki.
Safari njema.