Msaada nataka kwenda Afrika Kusini

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,191
Reaction score
1,629
Najua wapo wa kunivunja moyo ila ni kwamba nimedhamiria

Nahitaji maelezo au ushauri kuhusu mpango wangu wa kwenda Afrika Kusini

Mimi ni fundi wa magari lakini nikaamua kwenda kuongeza ujuzi nimeenda VETA kusomea welding and metal fabrication

Lengo langu kubwa natamani nikatafute maisha Afrika Kusini

Nahitaji kujua nini nifanye,gharama za safari,vipi ntaanza maisha nk

Mwenye kuweza kunipa maelezo ntashukuru

.NB
Haya ni mawazo yangu na hisia zangu pengine ukawa ni upuuzi kwako ila kwangu ni jambo zuri ......
 
Umenikumbusha mbali kuna jamaa mmoja hivi alidharimilia kwenda S.A akauza vitu vyake vyote mpaka alipata nauli, nasikia saivi anauza genge
 
Ebana
Ebana mi mwenyewe nataka niende mwana
 
 
South hamna ussue. Tafuta ule uzi wa kongo ndo utajua hela ipo kongo na sio south.
South qatakutoa roho.
Kongo subiri uchaguzi uishe usepe ukapige hela.
 
South hamna ussue. Tafuta ule uzi wa kongo ndo utajua hela ipo kongo na sio south.
South qatakutoa roho.
Kongo subiri uchaguzi uishe usepe ukapige hela.
Kazi gani huko twende tukapige kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…