mchawi-mweupe
Member
- Nov 26, 2019
- 34
- 8
- Thread starter
- #21
kaka nimesema kwa mwenye kuhitaji au mwenye kujua anielekeze wapi ,ndo tukafanye maelewano gari la nn kwa mtu asiye hitaji
kaka nimesema kwa mwenye kuhitaji au mwenye kujua anielekeze wapi ,ndo tukafanye maelewano gari la nn kwa mtu asiye hitaji
ahahaha boss mbona una kaza kichwa tatizo liko mahali wapikaka nimesema kwa mwenye kuhitaji au mwenye kujua anielekeze wapi ,ndo tukafanye maelewano gari la nn kwa mtu asiye hitaji
ndo nini
sijaelewa boss wangundo nini
boss kiandike tena
Leo nimeona ugumu wa kazi zetu walimukaka nahisi hujanielewa mi nmeomba msaada kwa anayejua ni wapi wanakopesha kwa kuweka bondi au mwenye kuhitaji gari nimuuzie moja kwa moja ,lakini mwenye kujua ni wapi au anahitaji huduma hiyo basi naomba ani inbox ndo tupeane details zote
asanteLeo nimeona ugumu wa kazi zetu walimu
ahahahah acha kukaza kichwaHalafu hayo matairi mbona 3 au ni bajaji ? Kuna jamaa hapa nyegezi ana 30 m
kaka nimesema kwa mwenye kuhitaji au mwenye kujua anielekeze wapi ,ndo tukafanye maelewano gari la nn kwa mtu asiye hitaji
samahani pia kama umekwazika ndgNaona comments za watu hapa kuhusu aina ya hilo gari. Thats why nimeuliza. Nisamehe bure
Mbona hatuioni hiyo gari?
ahahahaaha kijana vipi mbona una kaza kichwa..Ukiwa na uhitaji ndio unaliona la sivyo huwezi kuliona na si unajua muuzaji mwenyewe ni Mchawi-Mweupe.
Gari lenyewe halina matairi ya mbele, lipo juu ya mawe sasa sijui mnunuzi kama ataweza kuvutiwa nalo!
Hajui kitu ndo mana ameomba msaada, kama unaweza msaidie tu mkuu.mbona mgumu kuelewa ndgu nani aje in box kwa kitu kisichoeleweka unge weka picha yaani uandike tangazo lililo kamilika syo kama ulivyoandika
ahahahaha acha kukaza kichwa anko ujumbe umeeleweka ,we kama una roho TU, mshukuru MUNGUHajui kitu ndo mana ameomba msaada, kama unaweza msaidie tu mkuu.
Nenda huko inbox muelekeze namna ya kuandaa tangazo na vipengele muhimu inatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
SI LAZIMA KIA UZI UCHANGIE KAMA HUJAELEWA UJUMBE KAUKA ANKO ITAKUWA HAIKUHUSU...AU WE MDOGO WAKE MAX NNahahahaha acha kukaza kichwa anko ujumbe umeeleweka ,we kama una roho TU, mshukuru MUNGU