msaada nataka kununua laptop

msaada nataka kununua laptop

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,431
Reaction score
1,406
TOSHIBA SATELLITE C850-B838 INTELdual core 1.7ghz,ram 2gb,hdd 320GB.ntapata mpya kwa sh ngapi?alaf nasikia zanzibar ni bei rahisi,kweli?na sh ngapi?
 
mpya ni 600,000 lakini hdd na ram ni kubwa zaidi..
 
TOSHIBA SATELLITE C850-B838 INTELdual core 1.7ghz,ram 2gb,hdd 320GB.ntapata mpya kwa sh ngapi?alaf nasikia zanzibar ni bei rahisi,kweli?na sh ngapi?
  • Utaipata kwa 490,000/- pale livingstone - Dar, Duka linaitwa LUANDA lipo ghorofa ya kwanza
  • Kwa dar hawa jamaa ndio wanauza vitu kwa bei ya chini sana.
  • Waweza tembelea ukurasa wao wa facebook hapa chini, kabla ya kwenda dukani.
    Code:
    [URL]https://www.facebook.com/discountkubwa[/URL]
​Karibu.
 
Ok hiyo ya 490,000 ambayo ni mpya inakuwa na Windows gani au Windows utajiju??
 
Ok hiyo ya 490,000 ambayo ni mpya inakuwa na Windows gani au Windows utajiju??
  • Window unaweka mwenyewe.
  • Laptop hiyoyo yenye windows 8 wanauza 535,000/-.
    Code:
    AMD E-Series Processor E-300
    Operating System*
    Windows 8
    Graphics Engine*
    AMD Radeon™ HD 6310
    Memory and Storage
    Memory*
    4GB DDR3 1600 MHz memory
    Hard Drive*
    320GB HDD (5400rpm, Serial ATA)
    Optical Drive*
    DVD-SuperMulti drive (+/-R double layer)
    Audio and Video
    Display Size
    15.6" widescreen
    Display Type*
    HD TruBrite® LED Backlit display
    Display Resolution
    1366x768 (HD), 16:9 aspect ratio, Supports 720p content
    Audio
    [B]Headphone jack (stereo), Microphone jack (mono), Standard stereo speakers, TOSHIBA Audio Enhancement
    [/B]
  • Kumbuka kwenye PC huwa tunaangalia specifucation na sio ina windows gani.
  • Ushauri: Ukitaka kununua PC tafuta isiyokuwaa na window , hapo utaokoa kati ya tsh 50,000/- hadi 150,000/- kwa dar. Mfano mzuli ni pale mlimani city wwaweza kuta PC yanye window inauzwa 780,000. Lakini hiyoyo PC ukiwaomba wakutafutie ambayo haina window waweza pata kwa tsh 650,000/- .
  • Laptop zingine hizi hapa kwa tsh 475,000/- unapata warranty ya mwaka mmoja,Na hizo mbili za mwanzo ni 500GB HDD(Ni PM nikupe contact )
9-5-2013 7-23-04 AM.png
Karibu
 
Back
Top Bottom