CIF ni garama za kulitoa gari kutoka japenga hadi bandarini. Likifika bandarini kuna ushuru unaotozwa na TRA, port charges, agency fee na other misilenious cost kabla hujalipeka home hilo ndinga
Ushauri murua. Tafuta hata toyota celica ina muundo kama huo lakin kwa kuwa ni toyota hutopata maumiv sana by then cc 1800 vvti inanusa tu kuliko hilo jini
Mimi gari yangu ya kwanza ilikuwa na cc2490 ilikuwa nzuri sana ila wese lake sasa. Spare zote bei yake ilikuwa mara kumi ya bei za toyota. Niliuza kwa faida ila nilichinja kuku wawili nikaita na washkaji

Kama hiyo ni total amount hadi bandarini sio mbaya,nenda kwenye website ya TRA ukaestimate kodi ukimalza ongeza kama 1m ya kutoa gari bandarini na mambo madogo mengine.