Kwa mujibu wa Enhence Auto Japan etimation cost yao ni $1850 ambayo hiyo ni gharama za jumla FOB+CIF+Insuarance na hapo nimeweka nearest port ni Dar es salaam mkuu sasa sijuwi ni wa kweli katika hizo cost au ni vipiMkuu sijaelewa hiyo 1850 ni dola au shiling? Pili umesema ni 1850 FOB+CIF+ Insurance ndio kitu gani hicho unamaana hiyo 1850 ni fob, au CIF??
Kwa mujibu wa Enhence Auto Japan etimation cost yao ni $1850 ambayo hiyo ni gharama za jumla FOB+CIF+Insuarance na hapo nimeweka nearest port ni Dar es salaam mkuu sasa sijuwi ni wa kweli katika hizo cost au ni vipi
Unachanganya madawa hakuna kitu cha fob +cif+ insurance ukisema CIF tayar ina FOB insurance na freight. Fob pekee ni cost ya gari sawa na Fob ndio maana mimi sikuelewi
Mkuu kwa mujibu ya website yao wanasema FOB ya gari ni kama $ 590 kwenye hiyo website kuna sehemu ya ku estimate cost ya CIF na Insurance amba baada ya kucalculate nikapata jumla ya ghara za FOB,CIF na insurance ikaja kama $1850 mkuuUnachanganya madawa hakuna kitu cha fob +cif+ insurance ukisema CIF tayar ina FOB insurance na freight. Fob pekee ni cost ya gari sawa na Fob ndio maana mimi sikuelewi
Mkuu kwa mujibu ya website yao wanasema FOB ya gari ni kama $ 590 kwenye hiyo website kuna sehemu ya ku estimate cost ya CIF na Insurance amba baada ya kucalculate nikapata jumla ya ghara za FOB,CIF na insurance ikaja kama $1850 mkuu
Kama nitakuwa nimekosea naombeni mnisahihishe wakuu
Kwa hiyo mkuu hapo kuna gharama zingine za kulitoa hilo gari bandalini mpaka naenda nalo home
Kama ni gari yako ya kwanza na una kipato cha kawaida tafuta gari zilizozoeleka. Hilo linamfaa mtu aliyezoea magari na hata akiambiwa shock absober ya mbele ni laki tisa hashtuki.
Halafu kwa bei hiyo hata kama ni FOB angalia vizuri lisije likawa ni yale majini maana huwa yanauzwa bei rahisi sana ili ukafie mbele