Msaada: Nataka kukodi mashamba ruvu

Msaada: Nataka kukodi mashamba ruvu

kudikwazu

Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Wakuu nataka kufanya ujasiliamali wa kilimo , ila sina mwenyeji ruvu nataka kuanza na kukodi shamba ili nilime tikiti maji na mboga mboga any idea zitakazosaidia ,

Contact za mwenyeji yoyote kule asanteni
 
Back
Top Bottom