Msaada: Nataka kujua kuhusu hiki chuo cha Dar es Salaam Maritime Institute

baraka clemence

Senior Member
Sep 18, 2016
137
66
Poleni na majukumu wana jf

Lengo la kuleta uzi huu ni kutaka kujua kuhusu hiki chuo cha DAR ES SALAM MARITIME INSTITUTE. Mwenye idea nacho kuhusu location yake, elimu inayotolewa na vile vile ajira kwa mtu anaetaka kusoma Marine Engineering naomba anijuze.

Msaada wenu tafadhali!
 
Panda mwendo kasi kashuke kituo cha CITY COUNCIL ukifika hapo utaona vibanda vya tiket za meli uliza tu kwa mabaharia wapi.?

ila kozi Mzuri BT sana hauwezi kukaa home utakuwa mtu wa kusafil sana baharin au maybe uwe fundi unaweza bakia nchi kavu kama ikitokea dharula vinginevo ofisi yako ni meli,boti

angalizo
kuna kuwa na ndoa za jinsia moja
 
Haswaaa hapo ndipo walipo, na hiyo ndio halisi
 
Panda mwendo kasi kashuke kituo cha CITY COUNCIL ukifika hapo utaona vibanda vya tiket za meli uliza tu kwa mabaharia wapi.?

ila kozi Mzuri BT sana hauwezi kukaa home utakuwa mtu wa kusafil sana baharin au maybe uwe fundi unaweza bakia nchi kavu kama ikitokea dharula vinginevo ofisi yako ni meli,boti

angalizo
kuna kuwa na ndoa za jinsia moja
duh ko nilazima huko kuwa na ndo ya jinsia moja?
 
Back
Top Bottom