Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi

Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi

Huu uzi umenikumbusha kitambo Sana.

Nakumbuka nilikua naogopa Sana bunduki.

Ma Askari walipo kua wamakabidhi silaha kutoka ma lindoni.

Wakati wa kuandikishiana makabidhiano ya bunduki nilikua naogopa Sana bunduki.

Badae nilikuja kuzoea mpaka leo hii Huwa siogopi mtu akiwa ameshikilia bunduki karibu yangu.

Nili enjoi Sana kuwa taasisi ya kijeshi.....pale Ni neno Moja tu.... Unaitikia......WAZI AFANDE

NILI HUSIKA SANA KWENY MAMBO MENGI KU RECRUIT, KUPANGA OFF ROSTER.

Pia Kuna kuibiwa malindoni.

Kuna kisa kimojaa kilitokea kilisisimua sanaa.

Kuna bwana mdogo mmoja royal na humble raia alikuja kuomba Kazi ya ulinzi.
Nakumbuka nilimfanyia recruitment tukamchukua huyu dogo nilizoea kumpanga Kwa RPC Mmoja lindo la Mchana pia kwa Director mmoja wa shule.

Mkasa ulianza ivi huyu dogo tulimwamisha akapelekwa kweny lindo la hardware Moja kubwa.
Ipo barabarani na Kuna full camera.

Nikiwa njian kwenda ofsn napokea simu kutoka KWA director wangu kunatukio kimetokea.

Kufika eneo la tukio hakuna palipo vunjwa kweny eneo la mbele la hardware ambalo Askari wetu alikua analinda.

Nyuma ya hardware KULIKUA na ukuta mrefu na umeunganika na ukuta wa nyumba ya familia Moja.
Nyuma ya hardware KULIKUA na mlango mmoja heavy sanaaaa.

Tunaenda kweny jicho la mwewe.

Tukiwa Na maAskari polisi....picha lina Anza.

Ilikua Usiku wa kuamkia Jumapil majira ya saa 7

Jamaa mmoja asiye juliana anaonekana anatumbukia kweny ukuta.

Alipofika chini Cha kwanza akavaa mask yake.

Camera zinaonyesha clear Ila black & white

Then anaonekana ameenda pembeni ya ukuta dakika Chache akaenda kweny ule mlango heavy akagusagusa sekunde Chache anaonekana yupo ndani.

Camera za ndani zinaonyesha akienda direct counter na kufungua fungua ma drow akaonekana akachukua kitu na kutoka haraka akipenya alipo ingilia Na ule ukuta mrefu sijui aliruka vp.

Ntaendelea jioni ngoja Ni ingie kulitumikia taifa.
Mada inahusu namna ya kuanzisha kampuni ya ulinzi
 
Mweleze namna ya kufungua kampuni na si ngojera ohho nakumbuka miaka fulani. Hahitaji historia anahitaji msaada namna ya kufungua kampuni ya ulinzi. Bwege kwa kuandika na mtizamo wako sawa lakini kwa knowledge nadhani unaweza kuwa bwege namba moja kati ya mabwege wote walioko JF.

Bwege kwa maana ya kwamba umeshindwa hata kuelewa nini anachohitaji mleta mada. Form four wa form form F POINT 33
 
Punguza ujuaji bwege wew jamaa kasema atanichek Dm...

Unajifanya mjuaaji kumbe your insane....

Umewashwa nini KUSOMA Maoni yangu...naona bando lako linakuwasha

Kwanza uo ubavu wa kuanzia kuwapangia JF EXPERT MEMBER
cha kuongea
unaupatia wap wakati wewe ni SINIOR MEMBER ....
Kufungua silaha na kufunga hata mgambo anafundishwa, JKT wa kujitolea anafundishwa pia na hata makampuni binafsi ya ulinzi kwa kushirikiana na polisi walinzi wao hufundishwa silaha.

Alafu kuhusu bando mimi si tumii bando la kuunga unga amka hata saa nane usiku utakuta ID yangu iko online siku 31 kwa mwezi anza leo kufanya utafiti wako. Nimekukumbusha kistaarabu kuwa mleta mada anahitaji kuelezwa namna ya kufungua kampuni ya ulinzi.

Kwa kuwa huna unalolijua mbulula wewe unakimbilia kutukana, matusi ni dalili za mtu aliyekosa hoja. Na kujiita JF Expert kwani tofauti yake nini na mtu ambaye amejiunga JF leo, kinachohitajika ni uwezo wako wa kuchanganua mambo na si muda wa kukaa JF.

Niko humu miaka mingi mno ila tu utaratibu niliyojiekea ikifika kipindi fulani nabadilisha ID maisha yanaendelea.
 
Nauzoefu wa muda mrefu kwenye hii sector

Ndio ilikua Kazi yangu ya kwanza nilipo maliza CHUO KIKUU...........

Ilikua Ni kampuni ya ulinzi iliyo anzishwa na captain mstaafu wa JWTZ

Baba ake Rafiki yangu nilie soma nae advance level......

Katika umri mdogo niliaminiwa na kupewa high post..........

Ukiitaji msaada na ushauri nipo.
Naomba nije inbox kwa ushauri
 
Kufungua silaha na kufunga hata mgambo anafundishwa, JKT wa kujitolea anafundishwa pia na hata makampuni binafsi ya ulinzi kwa kushirikiana na polisi walinzi wao hufundishwa silaha.
Alafu kuhusu bando mimi si tumii bando la kuunga unga amka hata saa nane usiku utakuta ID yangu iko online siku 31 kwa mwezi anza leo kufanya utafiti wako. Nimekukumbusha kistaarabu kuwa mleta mada anahitaji kuelezwa namna ya kufungua kampuni ya ulinzi. Kwa kuwa huna unalolijua mbulula wewe unakimbilia kutukana, matusi ni dalili za mtu aliyekosa hoja. Na kujiita JF Expert kwani tofauti yake nini na mtu ambaye amejiunga JF leo, kinachohitajika ni uwezo wako wa kuchanganua mambo na si muda wa kukaa JF.
Niko humu miaka mingi mno ila tu utaratibu niliyojiekea ikifika kipindi fulani nabadilisha ID maisha yanaendelea.
Wazungu wanasema "NEVER ARGUE WITH STUPID PEOPLE, THEY WILL DRAG YOU DOWN TO THEIR LEVEL AND THEN BEAT YOU WITH EXPERIENCE"

Sijajua kwann umeshobokea Maoni yangu sijajua.

Mwenye huu uzi amekaa kimya nashangaa wew na akili zako za ovyo tena mwanaume mzima unakua na tabia za kishangingi.

Nakuhakikishia jamaa atakuja kutoa uzi wa shukrani akinicheki nimpe "experts"

Nilipo soma huu uzi ulinikumbusha tukio Moja lililotaka kumpeleka jela kijana mmoja wa kimaskini asiye kua na hatia.

Nilijaribu ku share experience jinsi Yule kijana alivyo taka kupewa kesi ya upotevu wa kiasi kisicho pungua 5m

Ngoja Ni ishie hapo.

Kuna muda unaweza ukasoma UJUMBE si lazima uweke rabish....
Unapiga kimya

Naomba mimi na wewe KILA mtu achukue Time zake.
 
KWA HUDUMA

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
FB_IMG_1577116577306.jpeg
 
Nahitaji kuanzisha company ya Ulinzi nipigie au naomba namba yako 0711431980 nipo Njombe Imma
Wewe hata hiyo kampuni ukianzisha hauta breakeven yaani umeshindwa kuona namba ya simu hapo, unaomba tena namba ya simu? Alafu usifikirie biashara ya kampuni ni rahisi hivo, kwenye soka unaenda kukutana na magiant ambao bima zao tu ni asilimia 200 endapo kuna mali itaibiwa au kupotea na ikayhibitika ni uzembe wao. Sasa wewe kampuni yako utaenda kumchaji mteja shilingi laki 2 alafu mlinzi imlipe laki moja bado hujamshonea uniform.
Kwa kukusaidia ili kuanzisha kampuni ya ulinzi mnatakiwa kuwa wakurugenzi kuanzia wawili. Na kila mmoja awe na kitambulisho na TIN, pia unatakiwa uwe na ofisi tayari ndo unaandika barua ya kuomba kuanzisha kampuni, barua inaelekweza kwa IGP, kupitia kwa RPC, kupitia OCD, kupitia ofisi ya serikali ya mtaa unakoishi.
Baada ya hapo kamati ya ulinzi na usalama itakuja kukagua. Kama wakilidhika watarudisha majibu wizara ya mambo ya ndani kwa IGP.
IGP akishatoa kibali ndo unaenda Brela. Kumbuka uniform kwa walinzi wote wa kampuni binafsi ni sheti nyeupe na suruali au sket ya dark blue.
Kila la heri
 
Back
Top Bottom