Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi

Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi

Ni wazo zuri sana haswa wakati huu wa watoto wa JKT kujitolea kurudi nyumbani.japokuwa kwa sasa head of the state anareplace sana hawa SUMA JKT.kampuni zingine kakataza kulinda maeneo ya miradi na ofisi zq serikali.
 
Ni wazo zuri sana haswa wakati huu wa watoto wa JKT kujitolea kurudi nyumbani.japokuwa kwa sasa head of the state anareplace sana hawa SUMA JKT.kampuni zingine kakataza kulinda maeneo ya miradi na ofisi zq serikali.
SUMA JKT wanatumia walinzi walioajiriwa au ni hawa wa kujitolea?
 
SUMA JKT wanatumia walinzi walioajiriwa au ni hawa wa kujitolea?
SUMA JKT wana walinzi.wao ila hii kampuni ni mradi ulio chini ya kamandi ya JKT mara nyingi huchukua ambao walioenda mafunzo ya kujitolea JKT na kutobahatika.kuchaguliwa kwenye ajira ya police, jwtz, usalama, fire, uhamiaji, migodi, BOT, TANAPA n,k
 
Tafadhari ndugu zangu mwenye kujua hatua za kufuata adi nimalize usajiri wa kampuni ya ulinzi, naomba anisadie.
Pia kama Kuna mtu anafanya kazi hiyo kwa bei rafiki tafadhari naomba kuunganishwa nae.

Natanguliza shukrani.
0765503584
Uko wapi?
 
Nauzoefu wa muda mrefu kwenye hii sector

Ndio ilikua Kazi yangu ya kwanza nilipo maliza CHUO KIKUU.

Ilikua Ni kampuni ya ulinzi iliyo anzishwa na captain mstaafu wa JWTZ

Baba ake Rafiki yangu nilie soma nae advance level.

Katika umri mdogo niliaminiwa na kupewa high post.

Ukiitaji msaada na ushauri nipo.
 
Nauzoefu wa muda mrefu kwenye hii sector

Ndio ilikua Kazi yangu ya kwanza nilipo maliza CHUO KIKUU.

Ilikua Ni kampuni ya ulinzi iliyo anzishwa na captain mstaafu wa JWTZ

Baba ake Rafiki yangu nilie soma nae advance level.

Katika umri mdogo niliaminiwa na kupewa high post.

Ukiitaji msaada na ushauri nipo.
Ubarikiwe Sana, nitakuchek nipate ushauri zaidi
 
SUMA JKT wana walinzi.wao ila hii kampuni ni mradi ulio chini ya kamandi ya JKT mara nyingi huchukua ambao walioenda mafunzo ya kujitolea JKT na kutobahatika.kuchaguliwa kwenye ajira ya police,jwtz,usalama,fire,uhamiaji,migodi,BOT,TANAPA n,k
Swali langu hujalijibu kwa uwazi. Maana ya swali langu ni kuwa kampuni za ulinzi kama KK Security na nyinginezo hutoa ajira kwa Watanzania ni kuwapangia kazi kwenye malindo; hao walinzi wa SUMA JKT wameajiriwa au ni wale vijana wa kujitolea?
 
Swali langu hujalijibu kwa uwazi. Maana ya swali langu ni kuwa kampuni za ulinzi kama KK Security na nyinginezo hutoa ajira kwa Watanzania ni kuwapangia kazi kwenye malindo; hao walinzi wa SUMA JKT wameajiriwa au ni wale vijana wa kujitolea?
Suma Jkt Security Guards ni Sub company kutoka kitngo cha Jkt inaajiri vijana wote waliomaliza mafunzo ya jkt na kutoajiriwa serikalini so kwa wanaopenda huwa wanatuma maombi na kuajiriwa. Kwa hiyo hao ni waajiriwa wanalipwa mshahara sio kujitolea kama unavyofikiri, Suma jkt security Guards.. Wao wanafanya kazi na miradi ya kiserikali sana sana lakini pia hata wewe au kampuni nyingine yoyoyte ukitaka huduma yao wanafanya pia..... Ova
 
Huu uzi umenikumbusha kitambo Sana.

Nakumbuka nilikua naogopa Sana bunduki.

Ma Askari walipo kua wamakabidhi silaha kutoka ma lindoni.

Wakati wa kuandikishiana makabidhiano ya bunduki nilikua naogopa Sana bunduki.

Badae nilikuja kuzoea mpaka leo hii Huwa siogopi mtu akiwa ameshikilia bunduki karibu yangu.

Nili enjoi Sana kuwa taasisi ya kijeshi.....pale Ni neno Moja tu.... Unaitikia......WAZI AFANDE

NILI HUSIKA SANA KWENY MAMBO MENGI KU RECRUIT, KUPANGA OFF ROSTER.

Pia Kuna kuibiwa malindoni.

Kuna kisa kimojaa kilitokea kilisisimua sanaa.

Kuna bwana mdogo mmoja royal na humble raia alikuja kuomba Kazi ya ulinzi.
Nakumbuka nilimfanyia recruitment tukamchukua huyu dogo nilizoea kumpanga Kwa RPC Mmoja lindo la Mchana pia kwa Director mmoja wa shule.

Mkasa ulianza ivi huyu dogo tulimwamisha akapelekwa kweny lindo la hardware Moja kubwa.
Ipo barabarani na Kuna full camera.

Nikiwa njian kwenda ofsn napokea simu kutoka KWA director wangu kunatukio kimetokea.

Kufika eneo la tukio hakuna palipo vunjwa kweny eneo la mbele la hardware ambalo Askari wetu alikua analinda.

Nyuma ya hardware KULIKUA na ukuta mrefu na umeunganika na ukuta wa nyumba ya familia Moja.
Nyuma ya hardware KULIKUA na mlango mmoja heavy sanaaaa.

Tunaenda kweny jicho la mwewe.

Tukiwa Na maAskari polisi....picha lina Anza.

Ilikua Usiku wa kuamkia Jumapil majira ya saa 7

Jamaa mmoja asiye juliana anaonekana anatumbukia kweny ukuta.

Alipofika chini Cha kwanza akavaa mask yake.

Camera zinaonyesha clear Ila black & white

Then anaonekana ameenda pembeni ya ukuta dakika Chache akaenda kweny ule mlango heavy akagusagusa sekunde Chache anaonekana yupo ndani.

Camera za ndani zinaonyesha akienda direct counter na kufungua fungua ma drow akaonekana akachukua kitu na kutoka haraka akipenya alipo ingilia Na ule ukuta mrefu sijui aliruka vp.

Ntaendelea jioni ngoja Ni ingie kulitumikia taifa.
 
Tafadhali ndugu zangu mwenye kujua hatua za kufuata adi nimalize usajiri wa kampuni ya ulinzi, naomba anisadie.

Pia kama kuna mtu anafanya kazi hiyo kwa bei rafiki tafadhali naomba kuunganishwa nae.

Natanguliza shukrani.
0765503584
Ndg utatafuta kutapeliwa tu humu ndani, taratibu za kufungua kampuni ya ulinzi ni zile zile za kufungua kampuni ya aina yoyote ile. Ingia website ya Brela sajili jina la kampuni, baada ya hapo utafuata taratibu zingine ikiwemo, Wizara ya mambo ya ndani, IGP nk.

Sifa unazotakiwa kuwa nazo wakati wa kufungua kampuni ya ulinzi ya ni lazima moja wapo ya wakuugenzi awe na uzoefu wa kazi za ulinzi kwa maana ya kwamba awe ni askari wa jeshi lolote au mstaafu wa jeshi lolote, au awe ni mtu ambaye amefanya kazi ya ulinzi kwa kipindi fulani. Hiyo ni kwa Bara.

Zanzibar mojawapo ya wakurugenzi ni lazima awe mzanzibar lakini ujiandae kutapeliwa kampuni yote pindi itakapokuwa imeanza kupata wateja na siasa lukiki, rushwa kila kona utakopoingia, ukianzia kwa Shekha, mpaka mkoani.
 
Back
Top Bottom