Msaada: Nataka kuanzisha Magazine.

Msaada: Nataka kuanzisha Magazine.

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
786
Reaction score
2,860
Salaam wanajamvi,
naomba ushauri wenu wa kitaalam katika hili suala, niko kwenye mchakato wa kuanzisha Magazine (ya mambo ya afya), nimeandaa mada tofauti tofauti tayari, sasa way forward ili kufikia production ndo bado inanichanganya kidogo, Pia kwa jinsi nilivyofuatilia nimepata taarifa kuwa kuna na kusajili (hati miliki), naomba ufafanuzi tafadhari, aidha kama kuna mtu ana utaalamu katika production na editing nakaribisha interest kufanya nawe kazi. shukrani.
 
Back
Top Bottom