gauchothelegendary
Member
- Jun 16, 2016
- 27
- 30
kweli kabisa mkuu,but unawey ukatuambia ni kwa namna gani atumie kilimo kiweze kumsaidia kimaendleo? au kama nawe umefanikiwa kwa njia h ilikuaje?Achana na kusoma bora jiekeze katika kilimo kusoma sio issue sa iv utajikuta wenzio wanakupita kimaendeleo ww umeshikilia kusoma tu. Nashaur..
Kilimo kinasaidia sana km huna mtaji unaweza kurud kijijini ukaanza ukulima wa mpunga, mahindi,matikiti, matango na mboga mboga, ila km una mtaji wa kutosha unaweza kuanza kwa kukod trekta na kulimia watu inalipa sana. Mm sijishughulish na kilimo kwa sasa ila ndugu zangu wengi wapo katika hii sekta na inawalipa zaid ya sana.kweli kabisa mkuu,but unawey ukatuambia ni kwa namna gani atumie kilimo kiweze kumsaidia kimaendleo? au kama nawe umefanikiwa kwa njia h ilikuaje?
natumahi [emoji735]Natumahi muwazima. Nia yangu ni kupata msaada mimi ni miongoni mwa form 5 students katika tahasusi ya hgl lakini kutokana na hali ilivyo Sasa nmekata tamaa na ningependa kurudia tena mtihani wa form 4 je ni maamuzi yangu yanaweza kuwa na tija ukizingatia ni takribani miezi nane niko shule
Natumahi muwazima. Nia yangu ni kupata msaada mimi ni miongoni mwa form 5 students katika tahasusi ya hgl lakini kutokana na hali ilivyo Sasa nmekata tamaa na ningependa kurudia tena mtihani wa form 4 je ni maamuzi yangu yanaweza kuwa na tija ukizingatia ni takribani miezi nane niko shule
Ndiyo nlichokuwa nafikiliDogo tulia wakati wa kuandika na ueleze tatizo lako kwa ufasaha.
Unamaana kwa sasa uko Form Five unasoma,lakini baada ya kuona HGL kama haitakufaa unataka urudie mtihani kwa masomo/ tahasusi nyingine ya sayansi?
Tuweke wazi tukueleze njia ya kupita
Kilimo kinasaidia sana km huna mtaji unaweza kurud kijijini ukaanza ukulima wa mpunga, mahindi,matikiti, matango na mboga mboga, ila km una mtaji wa kutosha unaweza kuanza kwa kukod trekta na kulimia watu inalipa sana. Mm sijishughulish na kilimo kwa sasa ila ndugu zangu wengi wapo katika hii sekta na inawalipa zaid ya sana.