Msaada natafuta tairi za gari

Msaada natafuta tairi za gari

Joined
Apr 22, 2009
Posts
27
Reaction score
1
Wadau wote wa jf naombeni msaada natafuta tairi kwa ajili ya gari land cruiser hd 100
saizi ya tairi 275/65/r18 aina ninayopenda ni
bridge stone japan au aina nyingine yoyote. Mwenye kujua sehemu nitakayo pata anijulishe.
 
Ni gali la urithi au?
 
Kwa dar hupendelea victoria
Arusha napendelea Manjis Bp
Bf goodrich ni poa kwa rough road
 
Wadau wote wa jf naombeni msaada natafuta tairi kwa ajili ya gari land cruiser hd 100
saizi ya tairi 275/65/r18 aina ninayopenda ni
bridge stone japan au aina nyingine yoyote. Mwenye kujua sehemu nitakayo pata anijulishe.
Mkuu used au mpyaa!! Weka mawasiliano plizzz...!!
 
sijakuelewa unamaanisha nini "gali"
Lakini si la urithi bali tairi zake zinaanza kuchoka.
 
Jaribu Dunlop (Ila mfuko wako uwe umetuna), utaondokana na adha ya kutafuta tairi kwa miaka 4 au zaidi.
 
Nashukuru mkuu kwa msaada nitakwenda mlimani city kuangalia kama nitapata hizo tairi
 
Mbona hamtaji na makisio ya bei?

Jaribu mtaa wa Livingstone Kariakoo pia
 
Kwa aina ya magurudumu anayohitaji, haiwezi kupungua sh 450,000 kwa gurudumu moja!

kaka, upo sahihi, tumenunua same size kwa 450k pale semvua kariakoo
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom