Msaada: Natafuta soko la ufuta

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,338
Reaction score
1,126
Wadau wa jukwaa hili,

Heshima zenu wakuu. Mimi nimelima ufuta wangu na nimevuna sasa natafuta soko lilipo popote pale.
Naomba msaada wenu tafadhali.

Natanguliza shukrani
 
Wadau wa jukwaa hili,

Heshima zenu wakuu. Mimi nimelima ufuta wangu na nimevuna sasa natafuta soko lilipo popote pale.
Naomba msaada wenu tafadhali.

Natanguliza shukrani
Maelezo zaidi tafadhali,
Upo wapi huo ufuta kwa sasa?
Ni kiasi gani interms of tonnes or Kg?
Bei yako unauza bei gani kwa kilo?
Kuna jamaa wanaitwa Bagom Mx wananunua.
 
Wadau wa jukwaa hili,

Heshima zenu wakuu. Mimi nimelima ufuta wangu na nimevuna sasa natafuta soko lilipo popote pale.
Naomba msaada wenu tafadhali.

Natanguliza shukrani

Sema uko mkoa gani?tutakuelekeza wapi uende kuuza ufuta wako
 
Nanunua kg kwa Tsh 1,200 tani zozote. Kama uko tayari ni inbox niufate Lindi.
 
Nanunua kg kwa Tsh 1,200 tani zozote. Kama uko tayari ni inbox niufate Lindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…