Habari za leo wandugu?
Naombeni msaada wa kunielekeza wapi naweza kupata simu aina ya Samsung C5212 Duos. Simu hii inatumia lines/sim cards mbili na nimekuwa nikitamani sana kuwa nayo. Nimezungukia maduka mengi hata ya SAMSUNG dealers lakini nako nimekosa.
Nitashukuru sana kupata msaada wenu. Asanteni!