Ndugu wana jamvi,
Natafuta English grammar ambayo ni sahihi kama kuna mtu ana-cover au picha ya kitabu anitumie nikatafute book shop au anielekeze chanzo kingine kama vile PDF. Naheshimu sana mchango wenu maana kiingereza kimekuwa tatizo kwangu, asanteni sana.