Msaada: Natafuta nyumba iliyojificha

Msaada: Natafuta nyumba iliyojificha

[FONT=arial
black]​[/FONT]
😛eep: WAKUU
HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA
TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE
HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA NZIMA ILIYOJIFICHA AMBAYO IKO KWENYE
MTAA ULIOJIFICHA..KODI YANGU NI LAKI 5 KWA MWEZI...NYUMBA IWE NA PARKING
NA UZIO NA IWE IMEJIFICHA

Mkuu, njoo Kigamboni uchukue nyumba kwenye executive residential area kwa laki 5 na laki 4.5, hutaamini.
 
ila biashara ya massage nackia haiko vizuri asa hv kutokana na ukata
 
Kwanini tunakuwa watu wa aina hii, mtu katangaza anataka nyumba na bei atayolipa katoa na biashara anayo taka kufanya kasema , kama unayo mkodishe au unajua ilipo mwelekeze, sasa matusi na maneno mengi ya nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom